BadGal Riri alitinga kivazi hiki cha rangi ya njano huku akiwa na kidani kimoja matata shingoni mwake na kiatu cha mchuchumia kwenye ntuzo za awali za Grammy Gala zilizofanyika jana pande za Beverly Hilton ndani ya Los Angeles. Umeipenda..?
Rihanna ameshindanishwa kwenye vipengele viwili za tuzo hizo; ya kwanza ikiwa ni ya Best Pop Duo/Group Performance kwa wimbo wa Stay with Mikky Ekko na ile ya Best Urban Contemporary Album kupitia album ya 'Unapologetic'.
Cheki picha zaidi hapo chini...

TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment