1. Usimuulize mpenzi swali ambalo jibu lake litakuuma. Usilulize maswali kama, ‘Hivi Amina alikuwa mpenzi wako? Au je, eti mi mnene?’ Si maswali muafaka
 
2. Kama jamaa anaangalia mpira kwenye TV, aidha umuunge mkono na wewe anza kuangalia mpira au nenda kalale, hakuna mbadala
 
3.  Kiukweli una nguo na viatu vya kutosha siyo kila style ikija unamwambia mupenzi akununulie
 
4.  Kama ukitaka jamaa asisahau birthday yako mkumbushe siyo unaanza lawama baadae eti kwanini hakukumbuka
 
5. Ukiona mupenzi anaangalia wadada wengine ni jambo zuri, atajuaje kuwa wewe mzuri kuliko wao kama halinganishi?
 
6. Ahadi iliyotolewa miezi sita au saba iliyopita na kuendelea kama haijatimizwa elewa imeexpaya, usiikumbushe mkianza ugomvi
 
 
7. Kulialia hovyo inaboa kishenzi
 
 8. Picha uwekazo facebook zikionyesha maungo yako na ulivyo uchi zinamfanya akuone nawe ni walele na usishangae ukawa uchochoro wa kupitiwa na kila mpitaji bila kukumbukwa
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment