Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni
jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana
au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke
anachaguo lake kwa mwanaume
ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao
lakini akapenda mweyevigezo vichache.
Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana
wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.
1. Kujiamini
2. Mcheshi
3. Mwenye utashi
4. Anayetoa msaada unapohitajika
5. Anaetunza siri
6. Mwenye kujithamini
7. Mwenye malengo / makini
jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana
au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke
anachaguo lake kwa mwanaume
ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao
lakini akapenda mweyevigezo vichache.
Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana
wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.
1. Kujiamini
2. Mcheshi
3. Mwenye utashi
4. Anayetoa msaada unapohitajika
5. Anaetunza siri
6. Mwenye kujithamini
7. Mwenye malengo / makini
8. Mwenyemawazo mapana
9. Muwazi na mkweli
10.Anayeridhika
11. Aliyeshupavu na jasiri
12. Mwenye huruma
12. Mwenye huruma
13. Anaesamehe
14.Hadhi na heshima
15. Hisia ya uadilifu
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment