Mbwana Samata ambaye ni mshambuliaji wa Taifa Stars amepewa kura ya kuwa mchezaji bora wa mwaka 2013 na
mashabiki wa TP Mazembe. Kwenye Mtandao wao tarehe 29 waliweka hio picha hapo juu na kuandika kuwa uchaguzi wa mchezaji bora wa Golden Raven imekamilika siku chache zilizopita na kwamba Mbwana Aly Samata kaibuka na point 248.

List Iko Hapa
1. Mbwana Aly SAMATTA 248 points
2. Salomon ASANTE 219
3. Robert KIDIABA 200
4. Nathan SINKALA 97
5. Rainford KALABA 67
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment