KAULI HIZI (8) ZIMEKUWA NI COMMON KWA WADADA NOWDAYS, SIKATAI YAWEZEKANA MREMBO AKAKWAMBIA MOJAWAPO KATI YA KAULI HIZI NA AKAWA KWELI ANAMAANISHA LAKINI HAKIKA NI WACHACHE SANA AMBAO HUWA WANAMAANISHA WENGI WAO NI KAMBA TU...TEK CARE!!!
1.Nina mpenzi ila yuko nje ya nchi
2. Jamaa yule ananisumbua sana ila mimi simtaki
3. Situmii mkorogo mimi nina natural color
4. Niko period.
5. Sikuwepo jana nilienda kumsalimia rafiki alinipa 50,000 ila hakunifanya kitu.
6. mie sikupendi kwa ajili ya fedha zako nakupenda wewe
7. Yule jamaa ni rafiki yangu tu
8. I love u too!
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment