Rebecca Shaw alifikiri kuwa ni damu iliyokuwa imetapakaa ukutani kabla ya kubaini kuwa zilikuwa 'tomato sauce'.
Geraghty alisababisha hasara ya shilingi milioni 20.9 nyumbani kwa Rebecca.
Rebecca Shaw alikuta kila kitu kimevurugika nyumbani kwake baada ya Geraghty kuvamia.
Kitanda cha Rebecca kikiwa kimevurugwa na kutupwa vioo pamoja na mashuka yaliyochanwa.
Rebecca Shaw aliyevurugiwa nyumba na mpenzii wake aliyemkataa.
Gari la Rebecca ambalo nalo llimwagiwa 'tomato sauce'.
Gari aina ya Renault mali ya Rebecca likiwa limemwagiwa 'tomato sauce' kwa nyuma na mbele.
MWANAUME mmoja aitwaye Martin Geraghty, 26, aliyekuwa na hasira za kuachwa aliamua kuvamia nyumbani kwa mpenzi wake Rebecca Shaw, 23, aliyekuwa na mimba yake huko Dover, Kent, Uingereza na kuvuruga nyumba yake na kusababisha hasara ya Paundi 8,000 sawa na Milioni 20.9 za Kitanzania baada ya kuambiwa na dada huyo kuwa hampendi tena.
Rebecca aliporudi nyumbani kwake alikuta vioo katika kitanda chake, mashuka yakiwa yamechanwa na nyumba yake ikiwa haitamaniki kwa uhalibifu uliofanywa na Martin aliyekuwa na hasira za kuachwa.
Martin alivunja vyombo na kuvitupa nje kupitia madirisha aliyoyavunja na kuharibu kila kitu alichokiona mbele yake pamoja na gari la Rebecca lililokuwa nje ya nyumba. Pia alivunja midoli ya mtoto wa Rebecca mwenye miaka minne na kurusha vyakula hovyo pamoja na 'tomato sauce' ukutani na sakafuni.
Baada ya kukiri kuhusika na tukio hilo, Martin aliihukumiwa kwenda jela miezi 18

TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment